Judges 1:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapelelezi hao walimwona mtu mmoja akitoka mjini, wakamwambia, “Tafadhali, tuoneshe njia inayoingia mjini, nasi tutakutendea kwa wema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuoneshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wapelelezi walimwona mtu atoka katika huo mji, wakamwambia, Tafadhali, utuonyeshe maingilio ya mji huu, nasi tutakutendea mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapelelezi hao walimwona mtu mmoja akitoka mjini, wakamwambia, “Tafadhali, tuoneshe njia inayoingia mjini, nasi tutakutendea kwa wema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wapelelezi walimwona mtu akitoka katika huo mji, wakamwambia, Tafadhali, utuonyeshe njia ya kuingia katika mji huu, nasi tutakutendea mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapelelezi hao walimwona mtu mmoja akitoka mjini, wakamwambia, “Tafadhali, tuoneshe njia inayoingia mjini, nasi tutakutendea kwa wema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walinzi walipoona mtu, akitoka mjini, wakamwambia: Tuonyeshe pa kuuingilia mji huu, nasi tutakufanyizia mambo ya upole.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wapelelezi walimwona mtu atoka katika huo mji, wakamwambia, Tafadhali, utuonyeshe maingilio ya mji huu, nasi tutakutendea mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapelelezi hao walimwona mutu mumoja akitoka katika muji, wakamwambia: “Tafazali, utuonyeshe njia inayoingia katika muji, nasi tutakutendea mema.”