Judges 1:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaonesha njia ya kuingia mjini. Basi, wakaingia na kuangamiza kila mtu aliyekuwamo. Lakini wakamwacha salama mtu huyo na jamaa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo akawaonesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akawaonyesha maingilio ya mji, nao wakaupiga huo mji kwa makali ya upanga; lakini huyo mtu walimwacha aende zake, na watu wote wa jamaa yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaonesha njia ya kuingia mjini. Basi, wakaingia na kuangamiza kila mtu aliyekuwamo. Lakini wakamwacha salama mtu huyo na jamaa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akawaonyesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akawaonyesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akawaonesha njia ya kuingia katika mji, nao wakaupiga huo mji kwa makali ya upanga; lakini huyo mtu walimwacha aende zake, na watu wote wa jamaa yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaonesha njia ya kuingia mjini. Basi, wakaingia na kuangamiza kila mtu aliyekuwamo. Lakini wakamwacha salama mtu huyo na jamaa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowaonyesha pa kuuingilia mji, wakawapiga wenyeji kwa ukali wa panga, lakini yule mtu wakamwacha, ajiendee na ukoo wake wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akawaonyesha maingilio ya mji, nao wakaupiga huo mji kwa makali ya upanga; lakini huyo mtu walimwacha aende zake, na watu wote wa jamaa yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaonyesha njia ya kuingia katika muji. Basi, wakaingia na kuangamiza kila mutu aliyekuwa mule. Lakini wakamwacha salama mutu yule na jamaa yake.