Judges 1:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata Waisraeli walipokuwa na nguvu hawakuwafukuza Wakanaani bali waliwapa kazi za kulazimishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Israeli walipopata nguvu, wakawatia Wakanaani katika kazi ya kulazimishwa, lakini kamwe hawakuwafukuza watoke kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ikawa, hapo Israeli walipokuwa wamepata nguvu, ndipo walipowatia hao Wakanaani katika kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata Waisraeli walipokuwa na nguvu hawakuwafukuza Wakanaani bali waliwapa kazi za kulazimishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Israeli walipopata nguvu, wakawatia Wakanaani katika kazi ya kulazimishwa, lakini kamwe hawakuwafukuza watoke kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Israeli walipopata nguvu, wakawatia Wakanaani katika kazi ya kulazimishwa, lakini kamwe hawakuwafukuza watoke kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ikawa, hapo Israeli walipokuwa wamepata nguvu, ndipo walipowatia hao Wakanaani katika kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata Waisraeli walipokuwa na nguvu hawakuwafukuza Wakanaani bali waliwapa kazi za kulazimishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Waisiraeli walipopata nguvu, wakawashurutisha Wakanaani kuwafanyia kazi za kutumwa, lakini kufukuza hawakuwafukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ikawa, hapo Israeli walipokuwa wamepata nguvu, ndipo walipowatia hao Wakanaani katika kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata Waisraeli walipokuwa na nguvu hawakuwafukuza Wakanana lakini waliwapa kazi za kulazimishwa.