Judges 1:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa kabila la Efraimu hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Gezeri, na hawa waliishi huko pamoja na watu wa Efraimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala Efraimu hawakuwafukuza kabisa Wakanaani walioishi Gezeri, bali Wakanaani waliendelea kuishi miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Efraimu naye hakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa katika Gezeri; lakini Wakanaani walikaa ndani ya Gezeri kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa kabila la Efraimu hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Gezeri, na hawa waliishi huko pamoja na watu wa Efraimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala Efraimu hawakuwafukuza kabisa Wakanaani walioishi Gezeri, bali Wakanaani waliendelea kuishi humo miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala Efraimu hawakuwafukuza kabisa Wakanaani walioishi Gezeri, bali Wakanaani waliendelea kuishi humo miongoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Efraimu naye hakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa katika Gezeri; lakini Wakanaani walikaa ndani ya Gezeri kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa kabila la Efraimu hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Gezeri, na hawa waliishi huko pamoja na watu wa Efraimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Waefuraimu hawakuwafukuza Wakanaani waliokuwa wenyeji huko Gezeri, ila Wakanaani wakakaa katikati yao huko Gezeri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Efraimu naye hakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa katika Gezeri; lakini Wakanaani walikaa ndani ya Gezeri kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kabila la Efuraimu hawakuwafukuza Wakanana walioishi kule Gezeri, na hawa waliishi kule pamoja na watu wa Efuraimu.