Judges 1:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa kabila la Zebuluni hawakuwafukuza wakazi wa mji wa Kitroni, wala wale wa mji wa Nahalali, waliendelea kukaa pamoja nao wakiwafanyiza kazi za kulazimishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vivyo hivyo Zabuloni hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Kitroni, na walioishi Nahaloli, bali Wakanaani hao walibaki miongoni mwao; lakini waliwatia katika kazi ya kulazimishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zabuloni naye hakuwatoa wenyeji wa Kitroni, wala hao waliokaa katika Nahalali; lakini Wakanaani walikaa kati yao, wakalazimishwa shokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa kabila la Zebuluni hawakuwafukuza wakazi wa mji wa Kitroni, wala wale wa mji wa Nahalali, waliendelea kukaa pamoja nao wakiwafanyiza kazi za kulazimishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vivyo hivyo Zabuloni hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Kitroni, wala walioishi Nahaloli, ambao walibaki miongoni mwao; bali waliwatia katika kazi ya kulazimishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vivyo hivyo Zabuloni hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Kitroni, wala walioishi Nahaloli, ambao walibaki miongoni mwao; bali waliwatia katika kazi ya kulazimishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zabuloni naye hakuwatoa wenyeji wa Kitroni, wala hao waliokaa katika Nahalali; lakini Wakanaani walikaa kati yao, wakalazimishwa shokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa kabila la Zebuluni hawakuwafukuza wakazi wa mji wa Kitroni, wala wale wa mji wa Nahalali, waliendelea kukaa pamoja nao wakiwafanyiza kazi za kulazimishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Wazebuluni hawakuwafukuza wenyeji wa Kitironi wala wenyeji wa Nahaloli; lakini wao wakawatumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zabuloni naye hakuwatoa wenyeji wa Kitroni, wala hao waliokaa katika Nahalali; lakini Wakanaani walikaa kati yao, wakalazimishwa shokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kabila la Zebuluni hawakuwafukuza wakaaji wa muji wa Kitironi, wala wale wa muji wa Nahalali, waliendelea kukaa pamoja nao wakiwatumikisha kazi za kulazimishwa.