Judges 1:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa kabila la Asheri hawakuwafukuza wakazi wa miji ya Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeka na Rehobu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala Asheri hawakuwafukuza wale walioishi huko Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeki wala Rehobu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asheri naye hakuwatoa wenyeji wa Aka, wala hao waliokaa Sidoni, wala hao wa Alabu, wala hao wa Akzibu, wala hao wa Helba, wala hao wa Afeka, wala hao wa Rehobu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa kabila la Asheri hawakuwafukuza wakazi wa miji ya Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeka na Rehobu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala Asheri hawakuwafukuza wale walioishi huko Ako, Sidoni, Ahlabu, Akzibu, Helba, Afeki wala Rehobu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala Asheri hawakuwafukuza wale walioishi huko Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeki wala Rehobu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asheri naye hakuwatoa wenyeji wa Aka, wala hao waliokaa Sidoni, wala hao wa Alabu, wala hao wa Akzibu, wala hao wa Helba, wala hao wa Afeka, wala hao wa Rehobu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa kabila la Asheri hawakuwafukuza wakazi wa miji ya Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeka na Rehobu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Waaseri hawakuwafukuza wenyeji wa Ako, wala wenyeji wa Sidoni, wala wa Alabu, wala wa Akizibu, wala wa Helba, wala wa Afiki, wala wa Rehobu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asheri naye hakuwatoa wenyeji wa Aka, wala hao waliokaa Sidoni, wala hao wa Alabu, wala hao wa Akzibu, wala hao wa Helba, wala hao wa Afeka, wala hao wa Rehobu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kabila la Aseri hawakuwafukuza wakaaji wa miji ya Ako, Sidona, Alabu, Akizibu, Helba, Afika na Rehobu.