Judges 1:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa kabila la Asheri walikaa pamoja na Wakanaani wenyeji wa nchi hiyo kwani hawakuwafukuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kwa sababu ya jambo hili Waasheri wakaishi miongoni mwa Wakanaani, wenyeji wa nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini Waasheri wakakaa kati ya Wakanaani, hao wenyeji wa nchi; kwa kuwa hawakuwafukuza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa kabila la Asheri walikaa pamoja na Wakanaani wenyeji wa nchi hiyo kwani hawakuwafukuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kwa sababu ya jambo hili Waasheri wakaishi miongoni mwa Wakanaani, wale wenyeji wa nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kwa sababu ya jambo hili Waasheri wakaishi miongoni mwa Wakanaani, wenyeji wa nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini Waasheri wakakaa kati ya Wakanaani, hao wenyeji wa nchi; kwa kuwa hawakuwafukuza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa kabila la Asheri walikaa pamoja na Wakanaani wenyeji wa nchi hiyo kwani hawakuwafukuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Waaseri walikaa katikati ya Wakanaani waliokuwa wenyeji wa nchi hii, kwani hawakuwafukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini Waasheri wakakaa kati ya Wakanaani, hao wenyeji wa nchi; kwa kuwa hawakuwafukuza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kabila la Aseri walikaa pamoja na Wakanana wenyeji wa inchi hiyo maana hawakuwafukuza.