Judges 1:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waamori waliwafukuzia watu wa kabila la Dani milimani. Hawakuwaruhusu kuja kuishi katika nchi tambarare.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waamori wakawazuilia Wadani kwenye nchi ya vilima, na hawakuwaacha washuke kuingia kwenye sehemu tambarare.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Waamori waliwasukumiza wana wa Dani waende milimani; kwani hawakuwakubali kutelemkia bondeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waamori waliwafukuzia watu wa kabila la Dani milimani. Hawakuwaruhusu kuja kuishi katika nchi tambarare.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waamori wakawazuilia Wadani kwenye nchi ya vilima, kwa maana hawakuwaacha washuke kuingia kwenye sehemu tambarare.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waamori wakawazuilia Wadani kwenye nchi ya vilima, kwa maana hawakuwaacha washuke kuingia kwenye sehemu tambarare.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Waamori waliwasukumiza wana wa Dani waende milimani; kwani hawakuwakubali kuteremkia bondeni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waamori waliwafukuzia watu wa kabila la Dani milimani. Hawakuwaruhusu kuja kuishi katika nchi tambarare.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Waamori wakawatesa wana wa Dani, waende milimani, wakawazuia, wasishuke kukaa bondeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Waamori waliwasukumiza wana wa Dani waende milimani; kwani hawakuwakubali kutelemkia bondeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waamori waliwafukuzia watu wa kabila la Dani kwenye milima. Hawakuwaruhusu kuja kuishi katika inchi ya bonde.