Judges 1:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka wa Waamori ulikuwa kaskazini ya Sela, kupitia pitio la Akarimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpaka wa Waamori ulikuwa kuanzia Genge la Akrabimu, kuendelea hadi Sela na kuelekea juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpaka wa Waamori ulikuwa tangu huko kupandia Akrabimu, tangu hilo jabali, na juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka wa Waamori ulikuwa kaskazini ya Sela, kupitia pitio la Akarimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka wa Waamori ulikuwa kuanzia Genge la Akrabimu, kuendelea hadi Sela na kuelekea juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka wa Waamori ulikuwa kuanzia Genge la Akrabimu, kuendelea hadi Sela na kuelekea juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpaka wa Waamori ulikuwa tangu huko kupandia Akrabimu, tangu hilo jabali, na juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka wa Waamori ulikuwa kaskazini ya Sela, kupitia pitio la Akarimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nchi ya Waamori ilianzia hapo pa kukwelea Akarabimu, ikaendelea kutokea huko gengeni hata juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpaka wa Waamori ulikuwa tangu huko kupandia Akrabimu, tangu hilo jabali, na juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka wa Waamori ulikuwa upande wa kaskazini ya Sela, kupitia njia inayopanda kwenda Akarabimu.