Judges 1:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu wa kabila la Yuda wakaenda kufanya mashambulio, naye Mwenyezi-Mungu akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, wakawaua watu 10,000 katika vita huko Bezeki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda aliposhambulia, Mwenyezi Mungu akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, nao wakawaua watu elfu kumi huko Bezeki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda akakwea; naye Bwana akawatia Wakanaani na Waperizi mkononi mwao; nao wakawapiga huko Bezeki watu elfu kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu wa kabila la Yuda wakaenda kufanya mashambulio, naye Mwenyezi-Mungu akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, wakawaua watu 10,000 katika vita huko Bezeki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda aliposhambulia, BWANA akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, nao wakawaua watu 10,000 huko Bezeki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda aliposhambulia, bwana akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, nao wakawaua watu 10,000 huko Bezeki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda akakwea; naye BWANA akawatia Wakanaani na Waperizi mkononi mwao; nao wakawapiga huko Bezeki watu elfu kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu wa kabila la Yuda wakaenda kufanya mashambulio, naye Mwenyezi-Mungu akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, wakawaua watu 10,000 katika vita huko Bezeki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuda alipopanda, Bwana akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, wakapiga kule Bezeki watu 10000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda akakwea; naye BWANA akawatia Wakanaani na Waperizi mkononi mwao; nao wakawapiga huko Bezeki watu elfu kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi watu wa kabila la Yuda wakaenda kufanya mashambulio, naye Yawe akawatia Wakanana na Waperizi katika mikono yao, wakawaua watu elfu kumi katika vita kule Bezeki.