Judges 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mji huo walimkuta mfalme Adoni-bezeki, wakapigana naye na kuwashinda Wakanaani na Waperizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko ndiko walipomkuta huyo Adoni-Bezeki, nao wakapigana naye na kuwafukuza Wakanaani na Waperizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakampata huyo Adoni-bezeki huko Bezeki; wakapigana naye, nao wakawapiga Wakanaani na Waperizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mji huo walimkuta mfalme Adoni-bezeki, wakapigana naye na kuwashinda Wakanaani na Waperizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko ndiko walipomkuta huyo Adoni-Bezeki, nao wakapigana naye na kuwafanya Wakanaani na Waperizi wakimbie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko ndiko walipomkuta huyo Adoni-Bezeki, nao wakapigana naye na kuwafanya Wakanaani na Waperizi wakimbie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakampata huyo Adoni-bezeki huko Bezeki; wakapigana naye, nao wakawapiga Wakanaani na Waperizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mji huo walimkuta mfalme Adoni-bezeki, wakapigana naye na kuwashinda Wakanaani na Waperizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomwona Adoni-Bezeki hapo Bezeki wakapigana naye, wakawapiga Wakanaani na Waperizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakampata huyo Adoni-bezeki huko Bezeki; wakapigana naye, nao wakawapiga Wakanaani na Waperizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika muji ule wakamukuta mufalme Adoni-Bezeki, wakapigana naye na kuwashinda Wakanana na Waperizi.