Judges 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adoni-bezeki akakimbia, lakini walimfuatia, wakamkamata, wakamkata vidole gumba vya mikono na miguu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adoni-Bezeki pia alikimbia, nao wakamfuata na kumkamata, wakamkata vidole vyake gumba vya mikono na vya miguu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Adoni-bezeki akakimbia; nao wakamwandamia na kumshika, wakamkata vyanda vyake vya gumba vya mikono na vya miguu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adoni-bezeki akakimbia, lakini walimfuatia, wakamkamata, wakamkata vidole gumba vya mikono na miguu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adoni-Bezeki pia alikimbia, nao wakamfuatia na kumkamata, wakamkata vidole vyake gumba vya mikono na vya miguu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adoni-Bezeki pia alikimbia, nao wakamfuata na kumkamata, wakamkata vidole vyake gumba vya mikono na vya miguu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Adoni-bezeki akakimbia; nao wakamwandama na kumshika, wakamkata vidole gumba vyake vya mikono na vya miguu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adoni-bezeki akakimbia, lakini walimfuatia, wakamkamata, wakamkata vidole gumba vya mikono na miguu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Adoni-Bezeki alipokimbia, wakamfuata upesi, wakamkamata; ndipo, walipomkata vidole gumba vya mikono na vya miguu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Adoni-bezeki akakimbia; nao wakamwandamia na kumshika, wakamkata vyanda vyake vya gumba vya mikono na vya miguu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Adoni-Bezeki akakimbia, lakini walimufuatilia, wakamukamata, wakamukata vidole gumba vya mikono na miguu.