Judges 10:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Je, mimi sikuwakomboa kutoka kwa Wamisri, Waamoni, Waamori, Wafilisti?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akawaambia, “Wamisri, Waamori, Waamoni, Wafilisti,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana akawaambia wana wa Israeli, Je! Sikuwaokoa ninyi na hao Wamisri, na Waamori, na wana wa Amoni, na Wafilisti?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Je, mimi sikuwakomboa kutoka kwa Wamisri, Waamoni, Waamori, Wafilisti?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akawaambia, “Wakati Wamisri, Waamoni, Wafilisti,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akawaambia, “Wakati Wamisri, Waamori, Waamoni, Wafilisti,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA akawaambia wana wa Israeli, Je! Sikuwaokoa ninyi na hao Wamisri, na Waamori, na wana wa Amoni, na Wafilisti?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Je, mimi sikuwakomboa kutoka kwa Wamisri, Waamoni, Waamori, Wafilisti?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana akawaambia wana wa Isiraeli: Sikuwatoa kwao Wamisri na Waamori na wana wa Amoni na Wafilisti?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA akawaambia wana wa Israeli, Je! Sikuwaokoa ninyi na hao Wamisri, na Waamori, na wana wa Amoni, na Wafilisti?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yawe akawaambia: “Mimi sikuwakomboa kutoka kwa Wamisri, Waamoni, Waamori, na Wafilistini?