Judges 10:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo nyinyi mmeniacha, mkatumikia miungu mingine. Kwa hiyo sitawakomboeni tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninyi mmeniacha na kuitumikia miungu mingine, kwa hiyo sitawaokoa tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mmeniacha mimi, na kuitumikia miungu mingine; basi kwa ajili ya hayo mimi sitawaokoa tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo nyinyi mmeniacha, mkatumikia miungu mingine. Kwa hiyo sitawakomboeni tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninyi mmeniacha mimi na kutumikia miungu mingine, kwa hiyo sitawaokoa tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninyi mmeniacha mimi na kutumikia miungu mingine, kwa hiyo sitawaokoa tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mmeniacha mimi, na kuitumikia miungu mingine; basi kwa ajili ya hayo mimi sitawaokoa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo nyinyi mmeniacha, mkatumikia miungu mingine. Kwa hiyo sitawakomboeni tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi mmeniacha, mkatumikia miungu mingine; kwa hiyo sitawaokoa tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mmeniacha mimi, na kuitumikia miungu mingine; basi kwa ajili ya hayo mimi sitawaokoa tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo ninyi mumeniacha, mukatumikia miungu mingine. Kwa hiyo sitawakomboa tena.