Judges 10:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nendeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua. Iacheni hiyo iwakomboe katika taabu zenu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, endeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua; na hiyo iwaokoe wakati wa kusumbuka kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nendeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua. Iacheni hiyo iwakomboe katika taabu zenu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, endeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua; na hiyo iwaokoe wakati wa kusumbuka kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nendeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua. Iacheni hiyo iwakomboe katika taabu zenu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Nendeni kuililia miungu, mliyoichagua, hiyo na iwaokoe siku za masongano yenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, endeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua; na hiyo iwaokoe wakati wa kusumbuka kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muende muililie hiyo miungu muliyoichagua. Muache hiyo iwakomboe katika taabu zenu!”