Judges 10:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na mitatu, kisha akafariki na kuzikwa huko Shamiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na tatu. Ndipo akafa, naye akazikwa huko Shamiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka ishirini na mitatu, akafa, akazikwa katika Shamiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na mitatu, kisha akafariki na kuzikwa huko Shamiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaamua Israeli kwa miaka ishirini na mitatu. Ndipo akafa, naye akazikwa huko Shamiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaamua Israeli kwa miaka ishirini na mitatu. Ndipo akafa, naye akazikwa huko Shamiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka ishirini na mitatu, akafa, akazikwa katika Shamiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na mitatu, kisha akafariki na kuzikwa huko Shamiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 23, kisha akafa, akazikwa Samiri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka ishirini na mitatu, akafa, akazikwa katika Shamiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka makumi mbili na mitatu, kisha akakufa na kuzikwa kule Samiri.