Judges 11:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko Gileadi kulikuwa na mpiganaji hodari aitwaye Yeftha, mwana wa mama mmoja malaya, na baba yake aliitwa Gileadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yefta Mgileadi alikuwa shujaa mwenye nguvu. Baba yake alikuwa Gileadi, naye mama yake alikuwa kahaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huyo Yeftha, Mgileadi, alikuwa mtu shujaa sana, naye alikuwa ni mwana wa mwanamke kahaba; Gileadi akamzaa Yeftha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko Gileadi kulikuwa na mpiganaji hodari aitwaye Yeftha, mwana wa mama mmoja malaya, na baba yake aliitwa Gileadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yefta Mgileadi alikuwa mtu shujaa. Baba yake alikuwa Gileadi, naye mama yake alikuwa kahaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yefta Mgileadi alikuwa mtu shujaa. Baba yake alikuwa Gileadi, naye mama yake alikuwa kahaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huyo Yeftha, Mgileadi, alikuwa mtu shujaa sana, naye alikuwa ni mwana wa mwanamke kahaba; Gileadi akamzaa Yeftha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko Gileadi kulikuwa na mpiganaji hodari aitwaye Yeftha, mwana wa mama mmoja malaya, na baba yake aliitwa Gileadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na fundi wa vita mwenye nguvu, ndiye Yefuta wa Gileadi; naye alikuwa mwana wa mwanamke mgoni, naye Gileadi ndiye aliyemzaa Yefuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huyo Yeftha, Mgileadi, alikuwa mtu shujaa sana, naye alikuwa ni mwana wa mwanamke kahaba; Gileadi akamzaa Yeftha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule Gileadi kulikuwa mupiganaji mumoja anayeitwa Yefuta, mwana wa mama mumoja kahaba, na baba yake aliitwa Gileadi.