Judges 11:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, “Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu. Hakika tutafanya kama ulivyosema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa Gileadi wakamjibu Yefta, “Mwenyezi Mungu ndiye shahidi wetu. Kwa hakika tutafanya kama usemavyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, Yeye Bwana atakuwa shahidi kati yetu; hakika yetu tutafanya sawasawa na neno lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, “Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu. Hakika tutafanya kama ulivyosema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa Gileadi wakamjibu, “BWANA ndiye shahidi yetu, kwa hakika tutafanya kama usemavyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa Gileadi wakamjibu Yefta, “ bwana ndiye shahidi yetu. Kwa hakika tutafanya kama usemavyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, Yeye BWANA atakuwa shahidi kati yetu; hakika yetu tutafanya sawasawa na neno lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, “Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu. Hakika tutafanya kama ulivyosema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wazee wa Gileadi wakamwambia Yefuta: Bwana ndiye anayeyasikia, tunayoyasemeana; na atuhukumu, tusipoyafanya uliyoyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, Yeye BWANA atakuwa shahidi kati yetu; hakika yetu tutafanya sawasawa na neno lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wazee wa Gileadi wakamwambia Yefuta: “Yawe atakuwa mushuhuda kati yetu. Hakika tutafanya kama ulivyosema.”