Judges 11:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wamwambie kwa niaba yake, “Waisraeli hawakuchukua nchi ya Wamoabu wala nchi ya Waamoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kusema: “Hili ndilo asemalo Yefta: Waisraeli hawakuchukua nchi ya Moabu wala nchi ya Waamoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akamwambia, Yeftha akuambia hivi; Israeli hakuitwaa nchi ya Moabu, wala nchi ya wana wa Amoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wamwambie kwa niaba yake, “Waisraeli hawakuchukua nchi ya Wamoabu wala nchi ya Waamoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kusema: “Hili ndilo asemalo Yefta, Israeli hawakuchukua nchi ya Moabu wala ya Waamoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kusema: “Hili ndilo asemalo Yefta, Israeli hawakuchukua nchi ya Moabu wala ya Waamoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akamwambia, Yeftha anakuambia hivi; Israeli hakuitwaa nchi ya Moabu, wala nchi ya wana wa Amoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wamwambie kwa niaba yake, “Waisraeli hawakuchukua nchi ya Wamoabu wala nchi ya Waamoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwambia: Hivi ndivyo, Yefuta anavyosema: Waisiraeli hawakuchukua nchi ya Wamidiani wala nchi ya wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akamwambia, Yeftha akuambia hivi; Israeli hakuitwaa nchi ya Moabu, wala nchi ya wana wa Amoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wamwambie kwa jina lake: “Waisraeli hawakutwaa inchi ya Wamoabu wala inchi ya Waamoni.