Judges 11:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Waisraeli walipotoka Misri, walisafiri jangwani hadi bahari ya Shamu mpaka Kadeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini walipopanda kutoka Misri, Waisraeli walipitia katika jangwa hadi Bahari ya Shamu na wakafika Kadeshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini hapo walipokwea kutoka Misri, na Israeli walienenda katika bara hata kuifikilia Bahari ya Shamu, na kufikilia Kadeshi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Waisraeli walipotoka Misri, walisafiri jangwani hadi bahari ya Shamu mpaka Kadeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini walipopanda kutoka Misri, Israeli walipitia katika jangwa hadi Bahari ya Shamu na wakafika Kadeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini walipopanda kutoka Misri, Israeli walipitia katika jangwa hadi Bahari ya Shamu na wakafika Kadeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini hapo walipokwea kutoka Misri, na Israeli walipitia katika jangwa hadi Bahari ya Shamu, na Kadeshi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Waisraeli walipotoka Misri, walisafiri jangwani hadi bahari ya Shamu mpaka Kadeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani walipotoka Misri kuja huku, Waisiraeli walishika njia ya nyikani mpaka kufika kwenye Bahari Nyekundu, wakaingia Kadesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini hapo walipokwea kutoka Misri, na Israeli walienenda katika bara hata kuifikilia Bahari ya Shamu, na kufikilia Kadeshi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Waisraeli walipotoka Misri, walisafiri katika jangwa mpaka kwenye bahari Nyekundu na kufika Kadesi.