Judges 11:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walilichukua eneo lote la Waamori tangu mto Arnoni hadi mto Yaboki na tangu jangwani upande wa mashariki hadi mto Yordani magharibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakiiteka nchi yote kuanzia Mto Arnoni hadi Mto Yaboki, na kutoka jangwani hadi Mto Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaumiliki mpaka wote wa Waamori, tokea Arnoni hata Yaboki, tokea hiyo bara hata Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walilichukua eneo lote la Waamori tangu mto Arnoni hadi mto Yaboki na tangu jangwani upande wa mashariki hadi mto Yordani magharibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakiiteka nchi yote kuanzia Arnoni mpaka Yaboki na kutoka jangwani mpaka Yordani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakiiteka nchi yote kuanzia Arnoni mpaka Yaboki, na kutoka jangwani mpaka Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaumiliki mpaka wote wa Waamori, tokea Arnoni hata Yaboki, tokea hilo jangwa hadi Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walilichukua eneo lote la Waamori tangu mto Arnoni hadi mto Yaboki na tangu jangwani upande wa mashariki hadi mto Yordani magharibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaichukua nchi yote iliyokuwa mipakani kwa Waamori, iwe yao toka Arnoni mpaka Yaboko, tena toka nyikani mpaka Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaumiliki mpaka wote wa Waamori, tokea Arnoni hata Yaboki, tokea hiyo bara hata Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walilitwaa eneo lote la Waamori tangu muto Arnoni mpaka kwenye muto Yaboki na tangu katika jangwa upande wa mashariki mpaka kwenye muto Yordani upande wa magaribi.