Judges 11:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, akawafukuza Waamori mbele ya Waisraeli. Je, wewe unataka kutunyanganya nchi yetu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, amewafukuza Waamori watoke mbele ya watu wake Israeli, wewe unayo haki gani ya kuitamalaki?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa yeye Bwana, Mungu wa Israeli, amewapokonya Waamori watoke mbele ya watu wake Israeli, na wewe wataka kuwatamalaki?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, akawafukuza Waamori mbele ya Waisraeli. Je, wewe unataka kutunyang'anya nchi yetu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi kwa kuwa BWANA, Mungu wa Israeli, amewafukuza Waamoni watoke mbele ya watu wake Israeli, wewe unayo haki gani ya kuitamalaki?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi kwa kuwa bwana, Mungu wa Israeli, amewafukuza Waamori watoke mbele ya watu wake Israeli, wewe unayo haki gani ya kuitamalaki?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa yeye BWANA, Mungu wa Israeli, amewapokonya Waamori watoke mbele ya watu wake Israeli, na wewe unataka kuchukua mahali pao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, akawafukuza Waamori mbele ya Waisraeli. Je, wewe unataka kutunyanganya nchi yetu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wa Isiraeli alipokwisha kuwafukuza Waamori mbele yao walio ukoo wake wa Waisiraeli, sasa wewe unataka kuwafukuza?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa yeye BWANA, Mungu wa Israeli, amewapokonya Waamori watoke mbele ya watu wake Israeli, na wewe wataka kuwatamalaki?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Yawe, Mungu wa Israeli, akawafukuza Waamori mbele ya Waisraeli. Sasa, wewe unataka kutunyanganya inchi yetu?