Judges 11:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tosheka na kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa. Lakini nchi yoyote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, amewafukuza wakazi wake, akatupa sisi, hiyo ni mali yetu sisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, haikupasi kuchukua kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa? Vivyo hivyo, chochote kile Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, alichotupatia sisi, tutakimiliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wewe hutakitamalaki hicho ambacho huyo Kemoshi mungu wako akupa kukitamalaki? Kadhalika, awaye yote ambaye Bwana, Mungu wetu, amemfukuza atoke mbele yetu hao ndio tutakaowatamalaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tosheka na kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa. Lakini nchi yoyote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, amewafukuza wakazi wake, akatupa sisi, hiyo ni mali yetu sisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, haikupasi kuchukua kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa? Vivyo hivyo, cho chote kile BWANA Mungu wetu alichotupa sisi, tutakimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, haikupasi kuchukua kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa? Vivyo hivyo, chochote kile bwana Mwenyezi Mungu wetu alichotupa sisi, tutakimiliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wewe hutakitamalaki hicho ambacho huyo Kemoshi mungu wako akupa kukitamalaki? Kadhalika si sisi ndio watu wa kutamalaki vyote ambavyo BWANA, Mungu wetu ametwaa kwa manufaa yetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tosheka na kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa. Lakini nchi yoyote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, amewafukuza wakazi wake, akatupa sisi, hiyo ni mali yetu sisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe Mungu wako Kamosi anayokupa kuwa mali zako huyachukui, yawe yako? Nayo yote, Bwana Mungu wetu anayotupa machoni petu kuwa yetu, basi, sisi huyachukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wewe hutakitamalaki hicho ambacho huyo Kemoshi mungu wako akupa kukitamalaki? Kadhalika, awaye yote ambaye BWANA, Mungu wetu, amemfukuza atoke mbele yetu hao ndio tutakaowatamalaki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tosheka na kile ambacho mungu wako Kemosi amekupa. Lakini inchi yoyote ambayo Yawe, Mungu wetu, amewafukuza wakaaji wake, akatupa sisi, hiyo ni mali yetu sisi.