Judges 11:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, unadhani wewe una nguvu kuliko Balaki mwana wa Zipora aliyekuwa mfalme wa Moabu? Yeye hakushindana na Waisraeli au kupigana nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wewe ni bora kuliko Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu? Je, yeye alishagombana na Waisraeli au kupigana nao wakati wowote?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wewe sasa, je! U mwema kuliko Balaki mwana wa Sipori, huyo mfalme wa Moabu, kwa lo lote? Je! Yeye alishindana na Israeli, au kupigana nao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, unadhani wewe una nguvu kuliko Balaki mwana wa Zipora aliyekuwa mfalme wa Moabu? Yeye hakushindana na Waisraeli au kupigana nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wewe ni bora kuliko Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu? Je, yeye alishagombana na Israeli au kupigana nao wakati wo wote?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wewe ni bora kuliko Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu? Je, yeye alishagombana na Israeli au kupigana nao wakati wowote?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wewe sasa, je! U mwema kuliko Balaki mwana wa Sipori, huyo mfalme wa Moabu, kwa lolote? Je! Yeye alishindana na Israeli, au kupigana nao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, unadhani wewe una nguvu kuliko Balaki mwana wa Zipora aliyekuwa mfalme wa Moabu? Yeye hakushindana na Waisraeli au kupigana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa je? Wewe u mwema kuliko Balaka, mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu? Aligombana nao Waisiraeli, apige vita nao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wewe sasa, je! U mwema kuliko Balaki mwana wa Sipori, huyo mfalme wa Moabu, kwa lo lote? Je! Yeye alishindana na Israeli, au kupigana nao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unazani wewe una nguvu kuliko Balaki mwana wa Sipori aliyekuwa mufalme wa Moabu? Yeye hakushindana na Waisraeli au kupigana nao.