Judges 11:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi sijakukosea kitu na ndio maana unafanya kosa unaponishambulia. Mwenyezi-Mungu ambaye ndiye Mwamuzi ataamua leo hii kati ya Waisraeli na watu wa Amoni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi sijakukosea, bali wewe ndiwe unanikosea kwa kufanya vita nami. Basi Mwenyezi Mungu, aliye Mwamuzi, leo na aamue ugomvi kati ya Waisraeli na Waamoni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mimi sikukufanyia wewe dhambi, lakini wewe unanitenda uovu kwa kupigana nami; yeye Bwana, yeye Mwamuzi, na awe mwamuzi hivi leo kati ya wana wa Israeli na wana wa Amoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi sijakukosea kitu na ndio maana unafanya kosa unaponishambulia. Mwenyezi-Mungu ambaye ndiye Mwamuzi ataamua leo hii kati ya Waisraeli na watu wa Amoni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi sijakukosea jambo lo lote, bali wewe ndiye unayenikosea kwa kufanya vita nami. Basi BWANA, aliye Mwamuzi, leo na aamue ugomvi kati ya Waisraeli na Waamoni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi sijakukosea jambo lolote, bali wewe ndiye unayenikosea kwa kufanya vita nami. Basi bwana, aliye Mwamuzi, leo na aamue ugomvi kati ya Waisraeli na Waamoni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mimi sikukufanyia wewe dhambi, lakini wewe unanitenda uovu kwa kupigana nami; yeye BWANA, yeye Mwamuzi, na awe mwamuzi hivi leo kati ya wana wa Israeli na wana wa Amoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi sijakukosea kitu na ndio maana unafanya kosa unaponishambulia. Mwenyezi-Mungu ambaye ndiye Mwamuzi ataamua leo hii kati ya Waisraeli na watu wa Amoni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi sikukukosea wewe, lakini wewe unanifanyizia vibaya ukija kupigana na mimi. Bwana aliye mwamuzi wa kweli na atuamue leo sisi wana wa Isiraeli nanyi wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mimi sikukufanyia wewe dhambi, lakini wewe unanitenda uovu kwa kupigana nami; yeye BWANA, yeye Mwamuzi, na awe mwamuzi hivi leo kati ya wana wa Israeli na wana wa Amoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi sijakukosea kitu na ndiyo maana unafanya kosa unaponishambulia. Yawe ambaye ndiye Mwamuzi ataamua leo hii kati ya Waisraeli na watu wa Amoni.”