Judges 11:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mfalme wa Amoni alipuuza ujumbe huo wa Yeftha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, mfalme wa Waamoni hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mfalme wa wana wa Amoni hakuyasikiza hayo maneno ya Yeftha aliompelekea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mfalme wa Amoni alipuuza ujumbe huo wa Yeftha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, Mfalme wa Waamoni, hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, Mfalme wa Waamoni, hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mfalme wa wana wa Amoni hakuusikiliza ujumbe aliotumiwa na Yeftha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mfalme wa Amoni alipuuza ujumbe huo wa Yeftha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mfalme wa wana wa Amoni hakuyasikia maneno ya Yefuta, aliyotuma kumwambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mfalme wa wana wa Amoni hakuyasikiza hayo maneno ya Yeftha aliompelekea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme wa Amoni akazarau ujumbe ule wa Yefuta.