Judges 11:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeftha akamwapia Mwenyezi-Mungu akisema, “Kama utawatia Waamoni mikononi mwangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Yefta akaweka nadhiri mbele za Mwenyezi Mungu akisema, “Ikiwa utawatia Waamoni mikononi mwangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yeftha akamwekea Bwana nadhiri, akasema, Kwamba wewe utawatia wana wa Amoni mkononi mwangu kweli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeftha akamwapia Mwenyezi-Mungu akisema, “Kama utawatia Waamoni mikononi mwangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Yefta akaweka nadhiri mbele za BWANA akisema, “Ikiwa utawatia Waamoni mikononi mwangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Yefta akaweka nadhiri mbele za bwana akisema, “Ikiwa utawatia Waamoni mikononi mwangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yeftha akamwekea BWANA nadhiri, akasema, Ikiwa utawatia wana wa Amoni mkononi mwangu kweli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeftha akamwapia Mwenyezi-Mungu akisema, “Kama utawatia Waamoni mikononi mwangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yefuta alipomwapia Bwana kiapo kwamba: Kama utawatia wana wa Amoni mikononi mwangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yeftha akamwekea BWANA nadhiri, akasema, Kwamba wewe utawatia wana wa Amoni mkononi mwangu kweli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yefuta akamwapia Yawe akisema: “Kama utawatia Waamoni katika mikono yangu,