Judges 11:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yeftha akavuka mto, akapigana na Waamoni, naye Mwenyezi-Mungu akawatia Waamoni mikononi mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yefta akavuka kupigana na hao Waamoni, naye Mwenyezi Mungu akawatia mkononi mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yeftha akavuka kuwaendea wana wa Amoni ili kupigana nao; naye Bwana akawaua mkononi mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yeftha akavuka mto, akapigana na Waamoni, naye Mwenyezi-Mungu akawatia Waamoni mikononi mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yefta akavuka kupigana na hao Waamoni, naye BWANA akawatia mkononi mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yefta akavuka kupigana na hao Waamoni, naye bwana akawatia mkononi mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yeftha akavuka kuwaendea wana wa Amoni ili kupigana nao; naye BWANA akawaua mkononi mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yeftha akavuka mto, akapigana na Waamoni, naye Mwenyezi-Mungu akawatia Waamoni mikononi mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yefuta akawaendea wana wa Amoni kupigana nao, naye Bwana akawatia mikononi mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yeftha akavuka kuwaendea wana wa Amoni ili kupigana nao; naye BWANA akawaua mkononi mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yefuta akavuka muto, akapigana na Waamoni, naye Yawe akawatia Waamoni katika mikono yake.