Judges 11:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akamwambia, “Baba, kama umemwapia Mwenyezi-Mungu kitu, basi nitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi adui zako Waamoni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajibu, “Baba yangu, umetoa neno lako kwa Mwenyezi Mungu. Nitendee mimi kama vile ulivyoahidi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amekupa ushindi dhidi ya adui zako Waamoni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Binti yake akamwambia, Baba yangu, wewe umemfunulia Bwana kinywa chako; basi unifanyie sawasawa na hayo yaliyotoka kinywani mwako; kwa kuwa yeye Bwana amekulipia kisasi juu ya adui zako, hao wana wa Amoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akamwambia, “Baba, kama umemwapia Mwenyezi-Mungu kitu, basi nitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi adui zako Waamoni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajibu, “Baba yangu, umetoa neno lako kwa BWANA. Nitendee mimi kama vile ulivyoahidi, kwa kuwa BWANA amekupatia ushindi dhidi ya adui zako Waamoni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajibu, “Baba yangu, umetoa neno lako kwa bwana. Nitendee mimi kama vile ulivyoahidi, kwa kuwa bwana amekupa ushindi dhidi ya adui zako Waamoni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Binti yake akamwambia, Baba yangu, wewe umemfunulia BWANA kinywa chako; basi unifanyie sawasawa na hayo yaliyotoka kinywani mwako; kwa kuwa yeye BWANA amekulipia kisasi juu ya adui zako, hao wana wa Amoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akamwambia, “Baba, kama umemwapia Mwenyezi-Mungu kitu, basi nitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi adui zako Waamoni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Baba yangu, kama umekifumbua kinywa chako kusema na Bwana, nifanyizie, kama kinywa chako kilivyosema! Kwa kuwa Bwana amekupa kuwalipiza adui zako, hao wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Binti yake akamwambia, Baba yangu, wewe umemfunulia BWANA kinywa chako; basi unifanyie sawasawa na hayo yaliyotoka kinywani mwako; kwa kuwa yeye BWANA amekulipia kisasi juu ya adui zako, hao wana wa Amoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akamwambia: “Baba, kama umemwapia Yawe kitu, basi unitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi waadui zako Waamoni.”