Judges 11:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, akamwambia baba yake, “Nakuomba jambo hili moja, nipatie muda wa miezi miwili, niende na rafiki zangu milimani, niomboleze kufariki kwangu kabla ya kuolewa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akamwambia baba yake, “Naomba nifanyiwe jambo hili. Nipewe miezi miwili ili kuzunguka vilimani nikaulilie ubikira wangu, mimi na wenzangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamwambia baba yake, Basi na nifanyiwe neno hili; niache peke yangu muda wa miezi miwili, ili nipate kwenenda milimani, na kuombolea uanawali wangu, mimi na wenzangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, akamwambia baba yake, “Nakuomba jambo hili moja, nipatie muda wa miezi miwili, niende na rafiki zangu milimani, niomboleze kufariki kwangu kabla ya kuolewa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akamwambia baba yake, “Naomba nifanyiwe jambo hili. Mimi na nipewe miezi miwili ili kuzunguka vilimani nikaulilie ubikira wangu, mimi na wenzangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akamwambia baba yake, “Naomba nifanyiwe jambo hili. Nipewe miezi miwili ili kuzunguka vilimani nikaulilie ubikira wangu, mimi na wenzangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamwambia baba yake, Basi na nifanyiwe neno hili; niache peke yangu muda wa miezi miwili, ili nipate kwenda milimani, na kuombolea ubikira wangu, mimi na wenzangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, akamwambia baba yake, “Nakuomba jambo hili moja, nipatie muda wa miezi miwili, niende na rafiki zangu milimani, niomboleze kufariki kwangu kabla ya kuolewa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwambia baba yake: Hili moja tu nilipate: Niache miezi miwili, niende kutembea milimani, niuombolezee uwanawali wangu, mimi pamoja na wenzangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamwambia baba yake, Basi na nifanyiwe neno hili; niache peke yangu muda wa miezi miwili, ili nipate kwenenda milimani, na kuombolea uanawali wangu, mimi na wenzangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, akamwambia baba yake: “Ninakuomba jambo hili moja, unipatie muda wa miezi miwili, niende na warafiki zangu kwenye milima, niomboleze kifo changu mbele ya kuolewa.”