Judges 11:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba yake akamruhusu aende huko kwa miezi miwili. Naye akaenda pamoja na rafiki zake, wakaomboleza kufa kwake kabla ya kuolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba yake akamwambia, “Unaweza kwenda.” Naye akamwacha aende kwa miezi miwili. Hivyo akaondoka pamoja na wenzake, naye akaulilia ubikira wake huko vilimani kwa sababu hangeolewa kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Haya, enda. Akampeleka mbali muda wa miezi miwili; naye akaenda zake, yeye na wenziwe, akauombolea uanawali wake huko milimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba yake akamruhusu aende huko kwa miezi miwili. Naye akaenda pamoja na rafiki zake, wakaomboleza kufa kwake kabla ya kuolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba yake akamwambia, “Waweza kwenda.” Naye akamwacha aende kwa miezi miwili. Hivyo akaondoka pamoja na wasichana wenzake, naye akaulilia ubikira wake huko vilimani kwa sababu asingeolewa kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba yake akamwambia, “Waweza kwenda.” Naye akamwacha aende kwa miezi miwili. Hivyo akaondoka pamoja na wasichana wenzake, naye akaulilia ubikira wake huko vilimani kwa sababu asingeolewa kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Haya, nenda. Akampeleka mbali muda wa miezi miwili; naye akaenda zake, yeye na wenziwe, akauombolea ubikira wake huko milimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba yake akamruhusu aende huko kwa miezi miwili. Naye akaenda pamoja na rafiki zake, wakaomboleza kufa kwake kabla ya kuolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Basi, nenda kwanza! akampa ruhusa kujiendea miezi miwili. Naye akaenda na wenzake, akauombolezea uwanawali wake huko milimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Haya, enda. Akampeleka mbali muda wa miezi miwili; naye akaenda zake, yeye na wenziwe, akauombolea uanawali wake huko milimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yake akamuruhusu aende kule kwa miezi miwili. Naye akaenda pamoja na warafiki zake, wakaomboleza kufa kwake mbele ya kuolewa.