Judges 11:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mwaka wanawake wa Israeli huenda kuomboleza kwa siku nne kifo cha bintiye Yeftha wa Gileadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwamba kila mwaka binti za Israeli huenda kwa siku nne ili kumkumbuka huyo binti Yefta Mgileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwamba binti za Israeli waende mwaka baada ya mwaka ili kumkumbuka huyo mwana wa Yeftha, Mgileadi, siku nne katika mwaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mwaka wanawake wa Israeli huenda kuomboleza kwa siku nne kifo cha bintiye Yeftha wa Gileadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba kila mwaka binti za Israeli huenda kwa siku nne ili kumkumbuka huyo binti wa Yefta, Mgileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba kila mwaka binti wa Israeli huenda kwa siku nne ili kumkumbuka huyo binti wa Yefta, Mgileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwamba binti za Israeli waende mwaka baada ya mwaka ili kumkumbuka huyo mwana wa Yeftha, Mgileadi, siku nne katika mwaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mwaka wanawake wa Israeli huenda kuomboleza kwa siku nne kifo cha bintiye Yeftha wa Gileadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vijana wa kike wa Waisiraeli waende mwaka kwa mwaka kumwimbia matukuzo binti Yefuta wa Gileadi siku nne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwamba binti za Israeli waende mwaka baada ya mwaka ili kumkumbuka huyo mwana wa Yeftha, Mgileadi, siku nne katika mwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mwaka wanawake wa Israeli wanaenda kuomboleza kwa siku ine kifo cha binti ya Yefuta wa Gileadi.