Judges 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati vita vilipopamba moto, wazee wa Gileadi wakaenda kumleta Yeftha kutoka nchi ya Tobu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
viongozi wa Gileadi wakaenda kumchukua Yefta katika nchi ya Tobu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikatukia, hapo wana wa Amoni walipopigana na Israeli, wazee wa Gileadi wakaenda kumtwaa huyo Yeftha katika ile nchi ya Tobu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati vita vilipopamba moto, wazee wa Gileadi wakaenda kumleta Yeftha kutoka nchi ya Tobu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
viongozi wa Gileadi wakaenda kumchukua Yefta katika nchi ya Tobu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
viongozi wa Gileadi wakaenda kumchukua Yefta katika nchi ya Tobu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikatukia, hapo wana wa Amoni walipopigana na Israeli, wazee wa Gileadi wakaenda kumtwaa huyo Yeftha katika ile nchi ya Tobu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati vita vilipopamba moto, wazee wa Gileadi wakaenda kumleta Yeftha kutoka nchi ya Tobu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, wana wa Amoni walipokuja kupigana na Waisiraeli, ndipo, wazee wa Gileadi walipokwenda kumchukua Yefuta katika nchi ya Tobu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikatukia, hapo wana wa Amoni walipopigana na Israeli, wazee wa Gileadi wakaenda kumtwaa huyo Yeftha katika ile nchi ya Tobu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati vita ilipopamba moto, wazee wa Gileadi wakaenda kumuleta Yefuta kutoka inchi ya Tobu,