Judges 11:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakamwambia, “Njoo utuongoze katika vita vyetu na Waamoni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia Yefta, “Njoo, uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamwambia Yeftha, Njoo wewe uwe kichwa chetu, ili tupate kupigana na wana wa Amoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakamwambia, “Njoo utuongoze katika vita vyetu na Waamoni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamwambia Yeftha, Njoo wewe uwe kichwa chetu, ili tupate kupigana na wana wa Amoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakamwambia, “Njoo utuongoze katika vita vyetu na Waamoni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia Yefuta: Njoo, uwe kiongozi wetu, tupate kupigana na wana wa Amoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamwambia Yeftha, Njoo wewe uwe kichwa chetu, ili tupate kupigana na wana wa Amoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakamwambia: “Kuja utuongoze katika vita yetu na Waamoni.”