Judges 11:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wazee wa Gileadi wakamwambia “Ndio maana tumekujia ili uende nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu na wa wakazi wote wa Gileadi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa Gileadi wakamwambia Yefta, “Lakini sasa tumegeuka kukuelekea wewe, ili uende pamoja nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu juu ya watu wote wa Gileadi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, Kwa ajili ya hayo sasa tumegeuka kukuelekea wewe tena, ili uende pamoja nasi na kupigana na wana wa Amoni, nawe utakuwa kichwa chetu juu ya wenyeji wote wa Gileadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wazee wa Gileadi wakamwambia “Ndio maana tumekujia ili uende nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu na wa wakazi wote wa Gileadi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa Gileadi wakamwambia, “Lakini sasa tumegeuka kukuelekea wewe, ili uende pamoja nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu juu ya watu wote wa Gileadi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa Gileadi wakamwambia Yefta, “Lakini sasa tumegeuka kukuelekea wewe, ili uende pamoja nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu juu ya watu wote wa Gileadi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, Kwa ajili ya hayo sasa tumegeuka kukuelekea wewe tena, ili uende pamoja nasi na kupigana na wana wa Amoni, nawe utakuwa kichwa chetu juu ya wenyeji wote wa Gileadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wazee wa Gileadi wakamwambia “Ndio maana tumekujia ili uende nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu na wa wakazi wote wa Gileadi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wazee wa Gileadi walipomwambia Yefuta: Kweli ni kwa sababu hii, tukirudi kwako; sasa nenda pamoja na sisi, tupate kupigana na wana wa Amoni, nawe uwe kichwa chetu sisi sote tukaao Gileadi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazee wa Gileadi wakamwambia Yeftha, Kwa ajili ya hayo sasa tumegeuka kukuelekea wewe tena, ili uende pamoja nasi na kupigana na wana wa Amoni, nawe utakuwa kichwa chetu juu ya wenyeji wote wa Gileadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wazee wa Gileadi wakamwambia: “Ndiyo maana tumekufikia kusudi uende nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu na wa wakaaji wote wa Gileadi.”