Judges 11:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeftha akawaambia hao wazee wa Gileadi, “Kama mkinirudisha nyumbani kupigana na Waamoni halafu Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwangu, mimi nitakuwa kiongozi wenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yefta akawaambia viongozi wa Gileadi, “Ikiwa mtanirudisha kwetu kupigana na Waamoni, naye Mwenyezi Mungu akanisaidia kuwashinda, je, ni kweli nitakuwa kiongozi wenu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi Kwamba mwanirejeza kwetu tena ili kupigana na wana wa Amoni, naye Bwana akiwatoa mbele yangu, je! Mimi nitakuwa kichwa chenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeftha akawaambia hao wazee wa Gileadi, “Kama mkinirudisha nyumbani kupigana na Waamoni halafu Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwangu, mimi nitakuwa kiongozi wenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yefta akawaambia, “Ikiwa mtanirudisha kwetu kupigana na Waamoni, naye BWANA akanisaidia kuwashinda, Je, ni kweli nitakuwa kiongozi wenu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yefta akawaambia, “Ikiwa mtanirudisha kwetu kupigana na Waamoni, naye bwana akanisaidia kuwashinda, Je, ni kweli nitakuwa kiongozi wenu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi, “Kama mkinirejesha kwetu tena ili kupigana na wana wa Amoni, naye BWANA akawatoa mbele yangu, je! Nitakuwa kiongozi wenu?”
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeftha akawaambia hao wazee wa Gileadi, “Kama mkinirudisha nyumbani kupigana na Waamoni halafu Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwangu, mimi nitakuwa kiongozi wenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yefuta akawauliza wazee wa Gileadi: Mkinirudisha kwenu, nipigane nao wana wa Amoni, naye Bwana akiwatoa, waangamie mbele yangu, mimi nitakuwa kweli kichwa chenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi Kwamba mwanirejeza kwetu tena ili kupigana na wana wa Amoni, naye BWANA akiwatoa mbele yangu, je! Mimi nitakuwa kichwa chenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yefuta akawaambia hao wazee wa Gileadi: “Kama mukinirudisha kwetu kwa kupigana na Waamoni halafu Yawe akiwatia katika mikono yangu, mimi nitakuwa kiongozi wenu.”