Judges 12:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya Ibzani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yake, Eloni Mzabuloni akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada yake huyo, Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli akawaamua Israeli muda wa miaka kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya Ibzani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada yake Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli, naye akawaamua kwa muda wa miaka kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yake Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli, naye akawaamua kwa muda wa miaka kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya Ibzani, Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli akawaamua Israeli muda wa miaka kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya Ibzani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baada yake Eloni wa Zebuluni akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 10.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada yake huyo, Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli akawaamua Israeli muda wa miaka kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya Ibusani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akakuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi.