Judges 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeftha akawaambia, “Mimi pamoja na watu wangu tulikuwa na uadui mkubwa na Waamoni. Niliwaombeni mnisaidie lakini hamkuja kuniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yefta akajibu, “Mimi na watu wangu tulikuwa na ugomvi mkubwa na Waamoni. Ingawa niliwaita, hamkuniokoa kutoka mkono wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeftha akawaambia, Mimi na watu wangu tulikuwa na matata makubwa na wana wa Amoni; nami hapo nilipowaita ninyi, hamkuniokoa na mikono yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeftha akawaambia, “Mimi pamoja na watu wangu tulikuwa na uadui mkubwa na Waamoni. Niliwaombeni mnisaidie lakini hamkuja kuniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yefta akajibu, “Mimi na watu wangu tulikuwa na ugomvi mkubwa na Waamoni, hata ingawa niliwaita hamkuniokoa katika mkono wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yefta akajibu, “Mimi na watu wangu tulikuwa na ugomvi mkubwa na Waamoni, hata ingawa niliwaita hamkuniokoa katika mkono wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeftha akawaambia, Mimi na watu wangu tulikuwa na mzozo mkali na wana wa Amoni; nami hapo nilipowaita ninyi, hamkuniokoa na mikono yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeftha akawaambia, “Mimi pamoja na watu wangu tulikuwa na uadui mkubwa na Waamoni. Niliwaombeni mnisaidie lakini hamkuja kuniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yefuta akawaambia: Vita, tulivyovipiga mimi na watu wangu na wana wa Amoni, vilikuwa vikali mno, nami nilipowaita ninyi, hamkuniokoa mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeftha akawaambia, Mimi na watu wangu tulikuwa na matata makubwa na wana wa Amoni; nami hapo nilipowaita ninyi, hamkuniokoa na mikono yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yefuta akawaambia: “Mimi pamoja na watu wangu tulikuwa na uadui mukubwa na Waamoni. Niliwaomba munisaidie lakini hamukukuja kuniokoa.