Judges 12:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yefta akawa mwamuzi wa Waisraeli kwa muda wa miaka sita. Kisha Yefta akafa, akazikwa katika mmoja wa miji ya Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Yeftha akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka sita. Ndipo akafa Yeftha, Mgileadi, akazikwa katika miji ya Gileadi mmojawapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yefta akawa mwamuzi wa Waisraeli kwa muda wa miaka sita. Basi Yefta akafa, akazikwa katika mmojawapo wa miji ya Gileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yefta akawa mwamuzi wa Waisraeli kwa muda wa miaka sita. Basi Yefta akafa, akazikwa katika mmojawapo wa miji ya Gileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Yeftha akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka sita. Ndipo akafa Yeftha, Mgileadi, akazikwa katika miji ya Gileadi mmojawapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yefuta akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 6, kisha Yefuta wa Gileadi akafa, akazikwa katika mmoja wao miji ya nchi ya Gileadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Yeftha akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka sita. Ndipo akafa Yeftha, Mgileadi, akazikwa katika miji ya Gileadi mmojawapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yefuta alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akakufa, akazikwa kule Gileadi katika muji wake.