Judges 13:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye akawaacha watawaliwe na Wafilisti kwa miaka arubaini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakafanya maovu tena mbele za Mwenyezi Mungu. Hivyo Mwenyezi Mungu akawatia mikononi mwa Wafilisti kwa muda wa miaka arobaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakafanya tena yaliyo mabaya mbele za macho ya Bwana, Bwana akawatia katika mikono ya Wafilisti, muda wa miaka arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye akawaacha watawaliwe na Wafilisti kwa miaka arubaini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanya maovu tena mbele za BWANA. Hivyo BWANA akawatia mikononi mwa Wafilisti kwa muda wa miaka arobaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanya maovu tena mbele za bwana. Hivyo bwana akawatia mikononi mwa Wafilisti kwa muda wa miaka arobaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakafanya tena yaliyo mabaya mbele za macho ya BWANA, BWANA akawatia katika mikono ya Wafilisti, muda wa miaka arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye akawaacha watawaliwe na Wafilisti kwa miaka arubaini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli walipoendelea kuyafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, Bwana akawatia mikononi mwa Wafilisti miaka 40.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakafanya tena yaliyo mabaya mbele za macho ya BWANA, BWANA akawatia katika mikono ya Wafilisti, muda wa miaka arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Yawe, naye akawaacha watawaliwe na Wafilistini kwa miaka makumi ine.