Judges 13:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanamke akakimbia upesi, akamwambia mumewe, “Tazama! Yule mtu aliyenijia siku ile amenitokea tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi yule mwanamke akaenda haraka na kumwambia mumewe, “Tazama mtu yule aliyenitokea siku ile yupo hapa!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huyo mwanamke akaenda haraka, akapiga mbio, na kumwambia mumewe, akisema, Tazama, huyo mtu amenitokea, huyo aliyenijilia siku ile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanamke akakimbia upesi, akamwambia mumewe, “Tazama! yule mtu aliyenijia siku ile amenitokea tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi yule mwanamke akaenda haraka na kumwambia mumewe, “Tazama mtu yule aliyenitokea siku ile yupo hapa!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi yule mwanamke akaenda haraka na kumwambia mumewe, “Tazama mtu yule aliyenitokea siku ile yupo hapa!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huyo mwanamke akaenda haraka, akapiga mbio, na kumwambia mumewe, akisema, Tazama, huyo mtu amenitokea, huyo aliyenijia siku ile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanamke akakimbia upesi, akamwambia mumewe, “Tazama! Yule mtu aliyenijia siku ile amenitokea tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yule mwanamke alipopiga mbio na kukimbia sana, akampasha mumewe hiyo habari akimwambia: Tazama, amenitokea yule mtu aliyekuja kwangu siku hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huyo mwanamke akaenda haraka, akapiga mbio, na kumwambia mumewe, akisema, Tazama, huyo mtu amenitokea, huyo aliyenijilia siku ile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanamuke akakimbia upesi, akamwambia mume wake: “Yule mutu aliyenijia siku ile amenitokea tena.”