Judges 13:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Manoa akasema, “Sasa maneno yako yatakapotimia ni mambo gani tutakayofuata kwa ajili ya huyo mtoto? Tutafanya nini kwa ajili yake?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Manoa akamuuliza, “Maneno yako yatakapotimia, je, masharti ya maisha ya mtoto huyu yatakuwa ni yapi, na kazi yake itakuwa ni ipi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Manoa akasema, Basi sasa hayo maneno yako yatakapotimia, je! Huyo mtoto atakuwa wa namna gani, na kazi yake itakuwa ni nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Manoa akasema, “Sasa maneno yako yatakapotimia ni mambo gani tutakayofuata kwa ajili ya huyo mtoto? Tutafanya nini kwa ajili yake?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Manoa akamwuliza “Wakati maneno yako yatakapotimia, masharti ya maisha ya mtoto huyu yatakuwa nini na kazi yake itakuwa ni nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Manoa akamuuliza, “Wakati maneno yako yatakapotimia, masharti ya maisha ya mtoto huyu yatakuwa nini na kazi yake itakuwa ni nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Manoa akasema, Basi sasa hayo maneno yako yatakapotimia, je! Huyo mtoto atakuwa wa namna gani, na kazi yake itakuwa ni nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Manoa akasema, “Sasa maneno yako yatakapotimia ni mambo gani tutakayofuata kwa ajili ya huyo mtoto? Tutafanya nini kwa ajili yake?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manoa akauliza: Sasa neno lako litakapotimia, yatakayompasa huyo kijana ndio nini? Tena kazi yake itakuwa nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Manoa akasema, Basi sasa hayo maneno yako yatakapotimia, je! Huyo mtoto atakuwa wa namna gani, na kazi yake itakuwa ni nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Manoa akasema: “Sasa maneno yako yatakapotimia ni mambo gani tutakayofuata kwa ajili ya huyo mutoto? Tutafanya nini kwa ajili yake?”