Judges 13:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asionje mazao yoyote ya mzabibu, wala asinywe divai au kileo wala kula chochote kilicho najisi. Yote niliyomwamuru, ayafuate.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe asile kitu chochote kitakachotoka katika mzabibu, wala asinywe divai yoyote wala kileo chochote, wala asile kitu chochote kilicho najisi. Hana budi kufanya kila kitu nilichomwagiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asile kitu cho chote kitokacho katika mzabibu, wala asinywe divai, wala mvinyo, wala asile kitu cho chote kilicho najisi; hayo yote niliyomwamuru na ayatunze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
asionje mazao yoyote ya mzabibu, wala asinywe divai au kileo wala kula chochote kilicho najisi. Yote niliyomwamuru, ayafuate.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe asile kitu cho chote kitakachotoka katika mzabibu, wala asinywe mvinyo wa aina yo yote wala kileo cho chote wala asile kitu cho chote kilicho najisi. Hana budi kufanya kila kitu nilichomwagiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe asile kitu chochote kitakachotoka katika mzabibu, wala asinywe mvinyo wa aina yoyote wala kileo chochote wala asile kitu chochote kilicho najisi. Hana budi kufanya kila kitu nilichomwagiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asile kitu chochote kitokacho katika mzabibu, wala asinywe divai, wala mvinyo, wala asile kitu chochote kilicho najisi; hayo yote niliyomwamuru na ayatunze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asionje mazao yoyote ya mzabibu, wala asinywe divai au kileo wala kula chochote kilicho najisi. Yote niliyomwamuru, ayafuate.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yote yatokayo katika mzabibu asiyale, wala asinywe mvinyo wala kileo cho chote! Wala asile chakula cho chote chenye mwiko! Yote, niliyomwagiza, sharti ayaangalie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asile kitu cho chote kitokacho katika mzabibu, wala asinywe divai, wala mvinyo, wala asile kitu cho chote kilicho najisi; hayo yote niliyomwamuru na ayatunze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
asionje mazao yoyote ya muzabibu, wala asikunywe divai au kileo wala kula chochote kinachohesabiwa kuwa kichafu. Yote niliyomwamuru, ayafuate.”