Judges 13:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tuambie jina lako ili tukuheshimu wakati maneno yako yatakapotimia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Manoa akamuuliza yule malaika wa Mwenyezi Mungu, “Jina lako ni nani, ili tuweze kukupa heshima wakati maneno uliyonena yatakapotimia?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Manoa akamwambia huyo malaika wa Bwana, Jina lako ni nani, ili kwamba hapo hayo maneno yako yatakapotimia nipate kukutukuza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tuambie jina lako ili tukuheshimu wakati maneno yako yatakapotimia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Manoa akamwuliza yule malaika wa BWANA, “Jina lako ni nani, ili kwamba tuweze kukupa heshima hapo hayo uliyonena yatakapotimia?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Manoa akamuuliza yule malaika wa bwana, “Jina lako ni nani, ili kwamba tuweze kukupa heshima hapo hayo uliyonena yatakapotimia?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Manoa akamwambia huyo malaika wa BWANA, Jina lako ni nani, ili kwamba hapo hayo maneno yako yatakapotimia nipate kukutukuza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Manoa akamwambia huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, “Tuambie jina lako ili tukuheshimu wakati maneno yako yatakapotimia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Manoa alipomwuliza malaika wa Bwana: Jina lako nani, tupate kukuheshimu, neno lako litakapotimia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Manoa akamwambia huyo malaika wa BWANA, Jina lako ni nani, ili kwamba hapo hayo maneno yako yatakapotimia nipate kukutukuza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Manoa akamwambia huyo malaika wa Yawe: “Utuambie jina lako kusudi tukuheshimu wakati maneno yako yatakapotimia.”