Judges 13:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Kwa nini unataka kujua jina langu, kwa kuwa jina langu ni la ajabu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika wa Mwenyezi Mungu akamjibu, “Kwa nini unauliza jina langu? Ni jina la ajabu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo malaika wa Bwana akamwambia, Kwani wewe kuniuliza jina langu, kwa kuwa jina hilo ni la ajabu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Kwa nini unataka kujua jina langu, kwa kuwa jina langu ni la ajabu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamjibu, “Kwa nini unauliza Jina langu? Ni Jina la ajabu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamjibu, “Kwa nini unauliza Jina langu? Ni Jina la ajabu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo malaika wa BWANA akamwambia, Kwa nini unaniuliza jina langu, na jina hilo ni la ajabu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Kwa nini unataka kujua jina langu, kwa kuwa jina langu ni la ajabu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika wa Bwana akamwambia: Unaniuliziaje jina langu? nalo ni la kustaajabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo malaika wa BWANA akamwambia, Kwani wewe kuniuliza jina langu, kwa kuwa jina hilo ni la ajabu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa Yawe akamujibu: “Kwa nini unataka kujua jina langu? Ni la ajabu.”