Judges 13:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Manoa akatayarisha mwanambuzi na tambiko, akaviweka juu ya mwamba amtolee Mwenyezi-Mungu afanyaye maajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Manoa akamchukua mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, naye akamtolea Mwenyezi Mungu dhabihu hapo juu ya mwamba. Naye yule malaika wa Mwenyezi Mungu akafanya jambo la ajabu wakati Manoa na mkewe wakiwa wanaangalia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Manoa akamtwaa yule mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, akamtolea Bwana hapo juu ya mwamba; huyo malaika akatenda la ajabu; Manoa na mkewe wakaangalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Manoa akatayarisha mwanambuzi na tambiko, akaviweka juu ya mwamba amtolee Mwenyezi-Mungu afanyaye maajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Manoa akamchukua mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, naye akamtolea BWANA dhabihu hapo juu ya mwamba. Naye yule malaika wa BWANA akafanya jambo la ajabu wakati Manoa na mkewe wakiwa wanaangalia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Manoa akamchukua mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, naye akamtolea bwana dhabihu hapo juu ya mwamba. Naye yule malaika wa bwana akafanya jambo la ajabu wakati Manoa na mkewe wakiwa wanaangalia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Manoa akamtwaa yule mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, akamtolea BWANA hapo juu ya mwamba; huyo malaika akatenda la ajabu; Manoa na mkewe wakaangalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Manoa akatayarisha mwanambuzi na tambiko, akaviweka juu ya mwamba amtolee Mwenyezi-Mungu afanyaye maajabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Manoa alipochukua mwana mbuzi na kilaji cha tambiko, akamtolea Bwana juu ya mwamba hivyo vipaji vya tambiko; naye akafanya jambo la kustaajabu, nao Manoa na mkewe wakawa wanalitazama:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Manoa akamtwaa yule mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, akamtolea BWANA hapo juu ya mwamba; huyo malaika akatenda la ajabu; Manoa na mkewe wakaangalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Manoa akatayarisha mwana-mbuzi na sadaka, akaviweka juu ya jiwe apate kumutolea Yawe anayefanya maajabu.