Judges 13:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Manoa akajua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu. Malaika hakumtokea tena Manoa na mkewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika wa Mwenyezi Mungu hakumtokea tena Manoa na mkewe. Ndipo Manoa akatambua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini malaika wa Bwana hakumtokea Manoa tena, wala mkewe. Ndipo Manoa alipojua ya kwamba ndiye malaika wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Manoa akajua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu. Malaika hakumtokea tena Manoa na mkewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malaika wa BWANA hakumtokea tena Manoa na mkewe. Ndipo Manoa akatambua kuwa huyo alikuwa malaika wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malaika wa bwana hakumtokea tena Manoa na mkewe. Ndipo Manoa akatambua kuwa huyo alikuwa malaika wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini malaika wa BWANA hakumtokea Manoa tena, wala mkewe. Ndipo Manoa alipojua ya kwamba ndiye malaika wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Manoa akajua kuwa huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu. Malaika hakumtokea tena Manoa na mkewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha malaika wa Bwana hakumtokea tena Manoa wala mkewe; ndipo, Manoa alipojua, ya kuwa ndiye malaika wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini malaika wa BWANA hakumtokea Manoa tena, wala mkewe. Ndipo Manoa alipojua ya kwamba ndiye malaika wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Manoa akajua kwamba huyo alikuwa malaika wa Yawe. Malaika hakumutokea tena Manoa na muke wake.