Judges 13:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, maana tumemwona Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, kwa kuwa tumemwona Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Manoa akamwambia mkewe, Hakika yetu tutakufa sisi, kwa sababu tumemwona Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, maana tumemwona Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, kwa kuwa tumemwona Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, kwa kuwa tumemwona Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Manoa akamwambia mkewe, Hakika yetu tutakufa sisi, kwa sababu tumemuona Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, maana tumemwona Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Manoa aakamwambia mkewe: Hatuna budi kufa, kwa kuwa tumemwona Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Manoa akamwambia mkewe, Hakika yetu tutakufa sisi, kwa sababu tumemwona Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Manoa akamwambia muke wake: “Hakika tutakufa, maana tumemwona Mungu.”