Judges 13:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho ya Mwenyezi-Mungu ikaanza kumsukuma akiwa huko Mahane-dani, kati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho wa Mwenyezi Mungu akaanza kumpa msukumo alipokuwa huko Mahane-Dani, kati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho ya Bwana ikaanza kumtaharakisha katika Mahane-dani, katikati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho ya Mwenyezi-Mungu ikaanza kumsukuma akiwa huko Mahane-dani, kati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho wa BWANA akaanza kumsukuma wakati alipokuwa huko Mahane-Dani, kati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Roho wa bwana akaanza kumsukuma wakati alipokuwa huko Mahane-Dani, kati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho ya BWANA ikaanza kumtaharakisha katika Mahane-dani, katikati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho ya Mwenyezi-Mungu ikaanza kumsukuma akiwa huko Mahane-dani, kati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya Bwana ilipoanza kumhimiza, alikuwa kambini kwao Wadani katikati ya Sora na Estaoli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho ya BWANA ikaanza kumtaharakisha katika Mahane-dani, katikati ya Sora na Eshtaoli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho wa Yawe akaanza kumusukuma akiwa kule Mahane-Dani, kati ya muji wa Zora na wa Estaoli.