Judges 13:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo uwe mwangalifu, usinywe divai au kileo wala usile kitu chochote kilicho najisi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ujihadhari sana usinywe divai wala kileo kingine chochote, wala usile kitu chochote kilicho najisi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, jihadhari, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala usile kitu kilicho najisi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo uwe mwangalifu, usinywe divai au kileo wala usile kitu chochote kilicho najisi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ujihadhari sana usinywe mvinyo wala kileo kingine cho chote, wala usile kitu cho chote kilicho najisi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ujihadhari sana usinywe mvinyo wala kileo kingine chochote, wala usile kitu chochote kilicho najisi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, jihadhari, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala usile kitu kilicho najisi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo uwe mwangalifu, usinywe divai au kileo wala usile kitu chochote kilicho najisi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa jiangalie, usinywe mvinyo wala kileo cho chote, wala usile chakula cho chote chenye mwiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, jihadhari, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala usile kitu kilicho najisi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo ukuwe mwangalifu, usikunywe divai au kileo wala usikule kitu chochote kinachohesabiwa kuwa kichafu,